SERIKALI IMEZITAKA HALMASHAURI KUWA NA ONE STOP CENTRES KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI NCHINI. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI IMEZITAKA HALMASHAURI KUWA NA ONE STOP CENTRES KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI NCHINI.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile pamoja na Mkurugezi Mkuu wa hospitali ya Tumbi Dkt. Edward Wayi akitoa maelezo ya Kituo cha Mkono kwa Mkono (one stop centre) kwa waandishi wa habali kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia mapema leo Tumbi Kibaha Mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Engineer Evalist Ndikilo  kuhusu masuala Afya pamoja na Maendeleo ya Jamii mapema leo ofisini kwake Kibaha Mkoani Pwani.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile pamoja na Mkurugezi Mkuu wa hospitali ya Tumbi Dkt. Edward Wayi akiongea na wagonjwa alipotembelea na kufanya ukaguzi wa hospitali ya rufaa ya Tumbi Kibaha Mkoani Pwani. (PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO WAMJW) NA MWANDISHI WETU PWANISerikali imezitaka Halmashauri  zote Nchini kuhakikisha zinakuwa na vituo vya huduma za  mkono kwa mkono (Ones S... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More