SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KUPIGA VITA UTUMIKISHWAJI DHIDI YA WATOTO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KUPIGA VITA UTUMIKISHWAJI DHIDI YA WATOTO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuuanayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye UlemavuMhe. Jenista Mhagama 
Serikali imekua na mikakati mikubwa ambayo imesaidia kuwatoa Watotokatika suala zima la utumikishwaji katika kazi na mazingira mbalimbali.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuuanayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye UlemavuMhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza na waandishi wa habariBungeni kuhusu maadhimisho ya siku ya kupiga vita utumikishwaji dhidi yaWatoto.
Waziri Mhagama alisema kuwa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwana Dkt. John Pombe Magufuli imekua ikichukua hatua mbalimbali dhidi yatatizo hilo.
“Jamii inatakiwa kutambua maana ya utumikishwaji wa Watoto na kazihatarishi zinazowakabili ili kuwa walinzi wa watoto,” alisisitiza Mhagama.Aliongeza kuwa Watoto hawatakiwi kutumikishwa bali wasaidiwe kutimizandoto zao kwa kuwaandaa kuwa raia wema na wajenzi wa Taifa la kesho.
Alieleza juu ya Sheria na mikakati mbal... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More