Serikali kufuatiliwa sakata la watumishi wa CPJ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali kufuatiliwa sakata la watumishi wa CPJ

MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo, Dk. Hassan Abbas amesema ofisi yake inafuatilia sababu ya watumishi wawili wa Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ), kushikiliwa na kuhojiwa na watu wanaodaiwa kuwa maofisa wa Idara ya Uhamiaji nchini. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dk. Abbas ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali katika ...


Source: MwanahalisiRead More