SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU

 Naibu  Waziri  wa  Mambo ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi  Hamad  Masauni, akizungumza  wakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam. Ambapo aliahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Nchi ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Makamu wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal akichagua  tiketi ya mchezo wa bahati nasibu iliyoendeshwa  wakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam. Naibu  Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi  Hamad Masauni(wapili kulia) na Viongozi wengine wa Ubalozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu wakimkabidhi  Ali Suleiman Ali ,zawadi ya tiketi ya ndege  kwenda nchini Dubai na kurudi ba... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More