Serikali kuinadi Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali kuinadi Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema Serikali imejipanga kuandaa na kutoa mafunzo ya uwezeshaji wa programu za kisomo na kufanya kampeni kwa kanda za kitaaluma ili watu waelewe kazi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Ndalichako amesema hayo wakati akizindua Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ...


Source: MwanahalisiRead More