SERIKALI KUJENGA CHUO CHA VETA MINYUGHE WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI KUJENGA CHUO CHA VETA MINYUGHE WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Minyughe wilayani Ikungi mkoani Singida jana. Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akilakiwa na wakina mama alipo kuwa amewasili kwenye mkutano huo.Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akiwasalimia wananchi alipokuwa amewasili kwenye mkutano huo.Mkutano ukiendeleaMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Ikungi, Jafari Dude akizungumza kwenye mkutano huo.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Minyughe, Nelson Kiwesi, akizungumza kwenye mkutano huo.Diwani wa Kata ya Minyughe, Samuel Daniel, akizungumza kwenye mkutano huo.


Na Dotto Mwaibale, Singida
MBUNGE wa Singida Magharibi Elibariki Kingu amesema Serikali imetenga zaidi ya sh.bilioni
mbili kwa ajili ya kujenga Chuo cha Ufundi Veta cha kisasa katika Kata ya Minyughe wilayani Ikungi mkoani Singida.
Kingu aliyasema hayo jana wakati akiwahutubia Wananchi ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More