SERIKALI KULIPA MIL 315.1 ZA WAKULIMA WA MUZIA AMCOS MKOANI RUKWA – MHE HASUNGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI KULIPA MIL 315.1 ZA WAKULIMA WA MUZIA AMCOS MKOANI RUKWA – MHE HASUNGA


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanachama wa Muzia Amcos ya Wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa jana tarehe 13 Octoba 2019 wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Rukwa, Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe Joachim Wangabo na mwingine ni Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe Julieth Binyura. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo).Sehemu ya wawakilishi wa Wanachama wa Muzia Amcos ya Wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akitatua kadhia za chama hicho kuhusu kutapeliwa fedha na Mwenyekiti wa chama hicho Ndg Linus Kalandamwazye kiasi cha Shilingi Milioni 315.1 wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Rukwa.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe Joachim Wangabo na Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe Julieth Binyura wakijadili jambo mara baada ya kumalizika kikao kazi kuzungumza na wanachama wa Muzia Amcos ya Wilayani Kalambo ka... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More