Serikali: Kuna viwanda vipya 3,000 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali: Kuna viwanda vipya 3,000

SERIKALI imeeleza kuwa, mpaka sasa kuna jumla ya viwanda vipya 3,000 tangu kuanza kwa kampeni ya ujenzi wa viwanda katika Serikali ya Awamu ya Tano. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 12 Juni 2019 na Mwita Waitara, Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wakati akijibu swali ...


Source: MwanahalisiRead More