Serikali kupiga mnada mamba, viboko - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali kupiga mnada mamba, viboko

DAKTARI Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesema serikali imeamua kuuza asilimia 10 ya mamba wote nchini ili kupunguza changamoto ya wanyama wakali kuvamia maeneo ya watu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Kigwangalla ametangaza uamuzi huo kupitia ukurasa wake wa Twitter, leo tarehe 17 Agosti 2019. Dk. Kigwangalla amesema kwa sasa kuna ongezeko ...


Source: MwanahalisiRead More