SERIKALI KUPITIA UPYA MKATABA WA UJENZI KITUO CHA FORODHA HOROHORO- TANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI KUPITIA UPYA MKATABA WA UJENZI KITUO CHA FORODHA HOROHORO- TANGA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakikagua Scana katika Kituo cha pamoja cha Forodha katika eneo la Horohoro Mkoani Tanga ambayo ilikuwa haifanyi kazi kwa kukosa umeme jambo lilololeta shaka kwa usalama bidhaa zinazoingia na kutoka nje ya nchi. Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga Bi. Specioza Owure, akifafanua jambo wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), walipotembelea na kukagua Kituo cha pamoja cha Forodha katika eneo la Horohoro Mkoani Tanga. Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga Bw. Yona Mark, akieleza Changamoto za Kituo cha pamoja cha Forodha katika eneo la Horohoro ambazo ni pamoja na kuwepo kwa njia nyingi zisizo rasmi za upitishaji wa bidhaa kutoka Tanzania na Kenya, jambo ambalo linaikosesha nchi Mapato.  Afis... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More