Serikali kupokea mkopo wa tsh bilioni 440 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali kupokea mkopo wa tsh bilioni 440 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (Video)

Serikali imesaini Makataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi Bilioni 440.703 pamoja na msaada wa shilingi Bilioni 45 kutoka benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Katika Ofisi za Wizara ya fedha na Mipango jijini DSM.The post Serikali kupokea mkopo wa tsh bilioni 440 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More