SERIKALI, VODACOM FOUNDATION WASHIRIKIANA KUOKOA MAISHA YA WANAFUNZI VISIWA VYA UKEREWE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI, VODACOM FOUNDATION WASHIRIKIANA KUOKOA MAISHA YA WANAFUNZI VISIWA VYA UKEREWE

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Luhaga Mpina (wa pili kushoto) akipokea moja ya jaketi maalum la kujiokole (life jacket) kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Bi Rosalynn Mworia ikiwa ni moja ya vifaa mbalimbali vya uokoaji vilivyotolewa na taasisi hiyo mwishoni mwa wiki hii mjini Ukerewe. Waziri Mpina alitangaza kuanza kwa ujenzi wa bweni kwaajili ya wanafunzi wanaoishi upande wa pili wa kivuko ambapo taasisi ya Vodacom Foundation iliahidi kutoa vitanda na magodoro kwa ajili ya wanafunzi hao. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Ukerewe Bw Cornel Magembe (wa kwanza kushoto) na muasisi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation, Bw Suleiman Kova.

ILI kuokoa zaidi ya wanafunzi 1300 wanaosafiri kwenye maji kila siku asubuhi kwenda shule katika visiwa vya Ukerewe jijini Mwanza, Waziri wa Uvuvi na Mifugo Luhaga Mpina amesema serikali itajenga bweni ili wanafunzi hao waishi shuleni. Waziri Mpina alitangaza uamuzi huo wakati akipokea msaada wa vifaa mbalimbali vya uokozi majin... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More