SERIKALI WILAYANI HAI ,KUBATILISHA UMILIKI WA VIWANJA 34 ,VIMO VIWANJA VYA VIGOGO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI WILAYANI HAI ,KUBATILISHA UMILIKI WA VIWANJA 34 ,VIMO VIWANJA VYA VIGOGO

Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya akizungumza na wananchi waliofika kwa ajili ya kuwasilisha kero juu ya Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) usharika wa Hai mjini. Katibu tawala wa wilaya ya Hai, Upendo Wella akizungumza wakati wa siku ya kwanza iliyotengwa na Wilaya ya Hai kushughulikia kero zinazohusua masuala ya migogoro ya Ardhi katika wilaya hiyo. Badhi ya wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa KKKT usharika wa Hai mjini. Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Yohana Sintoo akizungumza katika mkutano huo wa kushughulikia kero za Ardhi katika wilaya hiyo. Badhi ya wananchi waliofika kuwasiliha kero zao. Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Yohana Sintoo (kushoto) akimueleza jambo mkuuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya (kulia) wakati wa siku ya kusikiliza kero juu ya masuala ya Ardhi inayofanyika katika mji wa Bomang'ombe. Katibu tawala wa wilaya ya Hai, Upendo Wella akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Hai... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More