SERIKALI YA MKOA WA MOROGORO YATOA UTARATIBU WA KUCHANGIA MAJERUHI WA AJALI YA MOTO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YA MKOA WA MOROGORO YATOA UTARATIBU WA KUCHANGIA MAJERUHI WA AJALI YA MOTO

Serikali ya Mkoa wa Morogoro imetoa utaratibu kwa baadhi ya wadau wa maendeleo watakao penda kuchangia msaada wa vifaa tiba kwaajili ya majeruhi kupitia akauti ya bank ya NMB huku baadhi ya wadau hao wakiwemo shirika la hifadhi za Taifa Tanapa wakitoa msaada wa kiasi cha shilingi milioni kumi kwaajili ya wahanga wa ajali. Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiwasikiliza kwa makini maofisa wa jeshi usu waliofika katika ofisi yake kwa mazungumuzo mbalimbali ikiwemo kutoa hundi ya shillingi milion 10 kwa ajiri ya kusaidia maafa yaliyotokea ya mkoani humo. Mkuu wa mkoa wa Morogoro Kushoto mwenye koti jeusi Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongozana na maofisa wa jeshi usu mara baada ya kutoka kuona miili ya marehemu iliyokuwa nje ya chumba cha kuifadhia maiti . Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt Kebwe Steven Kebwe akipokea hundi ya shillingi millioni 10 kutoka kwa mhifadhi mkuu wa hifadhi milima ya udzungwa Donatus Dayona kwaniaba ya shirika la hifadhi za taifa TANAPA kwa lengo la kusa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More