Serikali ya Tanzania yakanusha uzushi unaoenezwa mitandaoni - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali ya Tanzania yakanusha uzushi unaoenezwa mitandaoni

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu wanafunzi wanaohitaji mikopo ya elimu ya juu. Madai ambayo yamekuwa yakisambazwa mitandaoni ni kwamba mwanafunzi yeyote ambae mzazi wake ana leseni ya biashara hataruhusiwa kupata mkopo kutokana na wazazi wake kuwa na uwezo. Naibu [...]


The post Serikali ya Tanzania yakanusha uzushi unaoenezwa mitandaoni appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More