Serikali yaahidi kuendelea kushirikiana na Halotel - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yaahidi kuendelea kushirikiana na Halotel

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng; Atashasta Nditiye akiongea na waandishi wa habari kuhusu dhima ya ziara aliyoifanya kwa ofisi za Makao Makuu ya Halotel jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Halotel Nguyen Van Son. Makamu wa Kitengo cha Idara ya Umeme wa kampuni ya Halotel, akitoa maelezo jinsi mfumo wa Umeme unavyofanya kazi kwenye kituo cha data kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng; Atashasta Nditiye (Kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Halotel Nguyen Van Son wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu waziri huyo katika ofisi za makao makuu za Halotel jijini Dar es Salaam. Pichani kati ni  Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Atashasta Nditiye  akimsikiliza  Mkurugenzi wa Kampuni ya Halotel Nguyen Van Son alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao chao cha pamoja mara baada ya kufanya ziara ya kuitembelea kampuni hiyo ili kujua shughuli wanazozifanya katika kuwahudumia wateja pamoja na changamoto wanazokumbana nazo k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More