SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU

 Picha iliyochukuliwa angani jana wakati Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS ikifanya doria ya anga ikionyesha baadhi ya wananchi wakiwa wanatengeneza jahazi kwa kutumia miti waliyovuna kinyume na taratibu kutoka msitu wa Mohoro River Wilayani Rufiji mapema jana. Picha na TFS.Picha iliyochukuliwa angani jana wakati Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS ikifanya doria ya anga ikionyesha mistu wa Hifadhi wa Rufiji Delta ukiwa katika hali nzuri baada ya wananchi kuelewa umuhimu wa kuhifadhi mikoko kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imeanza kutumia safari za anga kufanya doria katika kukabiliana na changamoto kubwa inayoikabili serikali katika uhifadhi wa Sekta ya misitu na maliasili kwa jumla.
Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa TFS Professa Dos Santos Silayo, amesema lengo la doria hizo ni kuhakikisha ulizi unaimarishwa katika maeneo yote ya misitu ambayo TFS imepewa dhamana ya kuilinda.
“Ni... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More