SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAANZA KUTUMIA NDEGE KULINDA MISITU


 TFS ikifanya doria ya anga ikionyesha baadhi ya wananchi wakiwa wanatengeneza jahazi kwa kutumia miti waliyovuna kinyume na taratibu kutoka msitu wa Mohoro River Wilayani Rufiji mapema jana.  TFS ikifanya doria ya anga ikionyesha mistu wa Hifadhi wa Rufiji Delta ukiwa katika hali nzuri baada ya wananchi kuelewa umuhimu wa kuhifadhi mikoko kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. Picha na TFS... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More