SERIKALI YADHAMIRIA KUKAMILISHA SKIMU ZOTE ZA UMWAGILIAJI AMBAZO UTEKELEZAJI WAKE HAUJAKAMILIKA - MHE MGUMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YADHAMIRIA KUKAMILISHA SKIMU ZOTE ZA UMWAGILIAJI AMBAZO UTEKELEZAJI WAKE HAUJAKAMILIKA - MHE MGUMBA

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) akijibu swali Bungeni leo tarehe 15 Aprili 2019 wakati wa mkutano wa kumi na tano wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) akifuatilia mkutano wa kumi na tano wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma leo tarehe 15 Aprili 2019. Mwingine pichani ni Naibu Waziri ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza (Mb).


Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma

Serikali inayo dhamira ya kukamilisha skimu zote za umwagiliaji ambazo utekelezaji wake haujakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa fedha. 
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 15 Aprili 2019 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mhe Azza Hillal Hamad aliyetaka kufahamu ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji katika Kijiji cha Ishololo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
Mhe Mgumba amesema kuwa Skimu hiyo i... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More