SERIKALI YAFUNGUA FURSA UZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAFUNGUA FURSA UZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
SERIKALI  imesema kuwa katika kukabiliana na uhifadhi mazingira ni wakati muafaka kwa wadau  kuwekeza katika uzalishaji wa mifuko mbadala  ambayo haina madhara  katika  utunzaji wa mazingira.Akizungumza katika kikao kilichohusisha wadau wa mazingira kuhusu fursa za uwekezaji  katika uzalishaji wa mifuko mbadala, Naibu katibu  mkuu  Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Joseph Edward Sokoine  amesema kuwa malengo ya kikao hicho ni kujadili mabadiliko katika uhifadhi ya mazingira  pamoja na kujadiliana na wadau juu ya namna bora ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kutengeneza mifuko mbadala ya karatasi au nguoBalozi Sokoine amesema kuwa hiyo ni fursa kwa wajasiriamali kuwekeza katika uzalishaji wa mifuko ya karatasi na nguo ili kuchangia katika uhifadhi wa mazingira na kuongeza kipato chao na kipato ha taifa kwa ujumla.Balozi Sokoine  amesema kauli mbiu ya "Mifuko mbadala kwa ustawi wa afya, mazingira na uchumi wetu" itumike katika kuhama... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More