SERIKALI YAFUTA BAADHI YA TOZO NA ADA ZILIZOKUWA ZIKITOZWA NA OSHA KUVUTIA UWEKEZAJI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAFUTA BAADHI YA TOZO NA ADA ZILIZOKUWA ZIKITOZWA NA OSHA KUVUTIA UWEKEZAJI


  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali katika katika kujenga uchumi wa viwanda ikiwemo kufuta baadhi ya tozo zilizokuwa zikitozwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala Pa Kazi (OSHA) ikiwemo ada ya Leseni ya kukidhi matakwa ya Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazihii leo Jijini Dodoma Septemba 20, 2018.
NA BEATRICE LYIMO-MAELEZO DODOMA.
SERIKALI imefuta baadhi ya ada na tozo zisizoondoa wajibu wa muajiri kulinda Afya za Wafanyakazi  ili  kuchochea ujenzi wa uchumi wa viwanda.
Hayo yamesemwa leo, Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama  alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu mabadiliko mbalimbali yaliyofanywa katika Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala Pa Kazi (OSHA) ili kuchangia katika kutekeleza azma ya Serikali kuweka mazingira rafiki kwa waw... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More