SERIKALI YAITAKA NIC KUCHANGIA PATO LA TAIFA KWA ZAIDI YA ASILIMIA TANO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAITAKA NIC KUCHANGIA PATO LA TAIFA KWA ZAIDI YA ASILIMIA TANO

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Shirika la Bima la Taifa- NIC, Dkt. Elirehema Doniye (kulia), akikabidhiwa rasmi ofisi hiyo na aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo, Bw. Sam Kamanga, jijini Dar es Salaam.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa- NIC, Bw. Sam Kamanga (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kukabidhi rasmi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa Shirika hilo, Dkt. Dkt. Elirehema Doniye (wa pili kushoto).Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa- NIC, Bw. Laston Msongole, wakishuhudia makabidhiano ya ofisi kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la NIC. Bw. Sam Kamanga na Mkurugenzi Mtendaji mpya waShirika hilo, Dkt. Elirehema Doniye.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu (kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Shirika la Bima Tanzania- NIC, Dkt. Elirehema Doniye, baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi, jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More