Serikali yaizuia mitambo ya kampuni ya madini - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yaizuia mitambo ya kampuni ya madini

SERIKALI imeiagiza Tume ya Madini Tanzania, kuzuia mali na mitambo yote ya Kampuni ya Canaco inayomiliki leseni ya Uchimbaji Madini ya dhahabu, kutokana na kukiuka masharti ya leseni hiyo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uchimbaji madini katika ...


Source: MwanahalisiRead More