SERIKALI YAJIDHATITI KUENDELEZA KUPUNGUZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAJIDHATITI KUENDELEZA KUPUNGUZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO

Matokeo ya takwimu nyingi kwa sasa yanaonyesha kuwa maswala ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto yamepungua kwa asilimia kubwa na hii ni kutokana na serikali kuweka mikakati na mipango thabiti ya kudhibiti tatizo hili.Afisa Ustawi wa Jamii Manispaa ya Ilala Joyce Maketa akiongea na waandishi wa habari mapema jana katika Bonanza lililoandaliwa na CDF kwa kushirikiana na ISDI.
Hayo yamesemwa mapema jana jijini Dar es salaam na Afisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bi. Joyce Maketa wakati akiongea na wakazi wa kata ya Kitunda katika Bonanza la Uhamasishaji juu ya Majukumu ya Wanaume na wavulana katika kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
Afisa huyo alisema kuwa kwa Manispaa ya Ilala kwa sasa matukio hayo yamepungua na ni kutokana na huduma zinazoendelea kutolewa pamoja na kuwepo na maafisa ustawi wa jamii wengi katika kata 16 na wasaidizi ambao ni zaidi ya 36 katika kata zote za wilaya nzima ya Ilala.
Aidha afisa huyo alisema kuwa amefurahishwa na bo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More