SERIKALI YAKATA RUFAA KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAKATA RUFAA KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU

*Ni kuhusu unaokataza wakurugenzi kusimamia uchaguzi
*Yataka nakala halisi ya uamuzi, mwenendo wa shauri

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

OFISI ya Wakili Mkuu wa Serikali imewasilisha Mahakama ya Rufaa Tanzania notisi ya kukataa rufaa kupinga sehemu ya uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu kuhusu uamuzi wa mahakama hiyo katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Bob Chacha Wangwe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wenzake kupinga vifungu vya sheria ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu wasimamizi wa uchaguzi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imesema pia pamoja na notisi hiyo Serikali imeomba kupatiwa nakala ya uamuzi na mwenendo wa shauri hiyo na kufafanua kutoka na taarifa hiyo ya Serikali uamuzi ambao umetolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi hiyo hauna nguvu kisheria.

Akizungumza leo Mei 13,2019 jijini Dar es Salaam , kabla ya kutoa msimamo huo wa kukata rufaa kuhusu uamuzi huo wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Adelardus Kilangi ameeleza Mei 10 mwaka ... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More