SERIKALI YAKIWA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA KUTUNZA VIELELEZO VYA MADAWA YA KULEVYA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAKIWA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA KUTUNZA VIELELEZO VYA MADAWA YA KULEVYA

Na Ahmed Mahmoud ArushaJaji mstaafu wa makahama kuu Aishieli Sumari Ameitaka serikali kuhakikisha kuwa ina weka mazingira mazuri kwa kupata kinga kwa wale wanaosikiliza kesi katika mahakama nchini kwa kuangalia ni namna gani vielelelzo vinavyotunzwa ili mwisho wa siku kinapofunguliwa kisiwadhuru wahusika ndani ya mahakama.
Aidha Amewataka majaji nchini kuhakikisha wanatafsiri  Sheria na kuzitolea adhabu zinazoendana na makosa yatakayoonekana kama Adhabu kwa wahusika badala ya kuziona adhabu kama sehemu ya kuondoka eneo moja kwenda jingine na kujikuta wahusika wakitumia fedha za serikali bure kwenye magereza.
Jaji Sumari ameyasema hayo wakati wa Misa ya Shukran iliyofanyika katika Kanisa la Kilutheri usharika wa Patandi wilayani Arumeru ambapo alitolea mfano wa Adhabu aliyotoa hivi karibuni kabla ya kustaafu ya Usafirishaji wa Madawa ya Kulevya aina ya Mirungi na kumuhukumu mshtakiwa Kifungo cha maisha.
 Amesema kuwa japo alikuwa akitoa adhabu za kifungo cha maisha na kunyonga kwa kesi m... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More