SERIKALI YAKUSANYA SHILINGI BIL.1.9 KUPITIA MAUZO YA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA MNADA . - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAKUSANYA SHILINGI BIL.1.9 KUPITIA MAUZO YA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA MNADA .

Mkurugenzi wa TFS Mohamed Kilongo akizungumza kuhusiana na mnada wa mazao ya misitu uliofanyika Longuza wilaya ua Muheza mkoa wa Tanga

Na.Vero Ignatus,Muheza.
Zaidi ya sh 1.9 Billioni Serikali imekusanya,kupitia mauzo ya mazao ya misitu yaliyouzwa kwa njia ya mnada katika Wilaya za Kilosa Mkoa wa Morogoro na Muheza mkoa wa Tanga.
Mohamed Kilongo ni Mkurugenzi waMipango na Matumizi ya Misitu wa Wakala wa huduma za misitu (TFS),Akizungumza wakati wa mnada kwenye shamba la Longuza, amesema kuwa kisasi hicho cha fedha kimekusanywa kwenye misitu ya Mtibwa Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro na Longuza lililopo Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.
Amesema kuwa zaidi ya sh 453.milioni zilikusanywa katika mnadawa shamba la Mtibwa na zaidi ya sh 1.5 Bilioni zilipatikana kwenyeuuzwaji wa miti ya shamba la Longuza baada ya kuuzwa ujazo wa 2100kati ya elfu 12 zilizopangwa kuuzwa.
Aidha amesema Serikali imepanga kuuza miti ya eneo la ujazo wa Mill 1.62.8katika misiti yake 13 iliyopo kote nchini na kwamba... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More