SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI NA WADAU WA BIASHARA YA TAKA HATARISHI NCHINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI NA WADAU WA BIASHARA YA TAKA HATARISHI NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (katikati) akizungumza na wazalishaji wa mifuko mbadala wa plastiki (hawapo pichani). Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine wazalishaji hao wa mifuko mbadala wameihakikishia Serikali kuwa wako tayari kuongeza kasi ya usambazaji wa mifuko mbadala kote nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Nchini Dkt. Samuel Gwamaka. Kulia Dkt. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira.Sehemu ya wazalishaji wa mifuko mbdala wa plastiki kutoka Kampuni mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine wazalishaji hao wa mifuko mbadala wameihakikishia Serikali kuwa wako tayari kuongeza kasi ya usambazaji wa mifuko mbadala kote nchin... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More