Serikali yamwaga ajira sekta ya Afya - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yamwaga ajira sekta ya Afya

SERIKALI imetoa ajira mpya za watumishi kada za afya katika Mamlaka za serikali za Mitaa  (TAMISEMI) 6180 kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma,  Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa, Suleiman Jafo amesema ajira hizo ni utekelezaji wa  ahadi ...


Source: MwanahalisiRead More