Serikali yaonya madaktari - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yaonya madaktari

MADAKTARI nchini wamepigwa marufuku kuandika dawa za wagonjwa kwa kutumia majina ya kampuni kwa kuwa kitendo hicho kinasababisha baadhi ya wagonjwa kukosa dawa.Anaripoti Mwandishi Wetu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Agizo hilo limetolewa leo tarehe 10 Oktoba 2018 na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile, ambapo amesema kuwa, kitendo cha baadhi ya madaktari kuandika ...


Source: MwanahalisiRead More