SERIKALI YAPUNGUZA UDAMAVU, VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO KWA ASILIMIA 50 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAPUNGUZA UDAMAVU, VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO KWA ASILIMIA 50

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati alipomwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango katika uzinduzi wa machapisho ya uchambuzi wa bajeti katika sekta ya jamii iliofanyika leo jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria ufunguzi huo wakisikiliza hotuba kutoka kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa machapisho ya uchambuzi wa bajeti katika sekta ya jamii iliofanyika leo jijini Dodoma.

Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Serikali imeweza kufanya tahtmini na kubaini kuwa jitihada zilizofanyika zimeweza kupunguza udumavu na vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kwa asilimia 50.
Takwimu hizo zimetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipokuwa akimuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango katika uzinduzi wa machapisho ya uchambuzi wa bajeti katika sekta ya j... Continue reading ->Source: KajunasonRead More