SERIKALI YARIDHISHWA NA HUDUMA ZA PSSSF MKOA WA DODOMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YARIDHISHWA NA HUDUMA ZA PSSSF MKOA WA DODOMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenyeulemavu, Anthony Mavunde,akizungumza waandishi wa habari (hawapo pichani) alipotembelea ofisi za mfuko huo leo jijini Dodoma kusikiliza maoni ya wanachama na wadau wanaohudumiwa na PSSSF.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenyeulemavu, Anthony Mavunde,akizungumza na Meneja wa PSSSF Mkoa wa Dodoma, Meshack Bandawe, alipotembelea ofisi za mfuko huo kusikiliza maoni ya wanachama na wadau wanaohudumiwa na PSSSF.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenyeulemavu, Anthony Mavunde,akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSSSF Mkoa wa Dodoma leo alipotembelea ofisi za mfuko huo kusikiliza maoni ya wanachama na wadau wanaohudumiwa na PSSSF.
Na.Alex Sonna wa Fullshangweblog,  Dodoma
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Jijini Dodoma, wametakiwa kutilia mkazo ulipaji wa mafao ya wastaafu kwa wakati.
Akitoa maagizo hayo leo jijini hapa Naibu Waziri, Ofisi ya Wa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More