Serikali yaruhusu rasmi magari kuanza kutumia ‘Fly-Over’ ya TAZARA jijini Dar Es Salaam (+picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yaruhusu rasmi magari kuanza kutumia ‘Fly-Over’ ya TAZARA jijini Dar Es Salaam (+picha)

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Septemba 15, 2018 imeruhusu magari kuanza kupita kwenye daraja la juu (Fly-Over) ya TAZARA jijini Dar es salaam.

The post Serikali yaruhusu rasmi magari kuanza kutumia ‘Fly-Over’ ya TAZARA jijini Dar Es Salaam (+picha) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More