SERIKALI YASEMA KONDOM ZIPO ZAKUTOSHA, TATIZO NI USAMBAZAJI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YASEMA KONDOM ZIPO ZAKUTOSHA, TATIZO NI USAMBAZAJI

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, jinsia, watoto na walemavu Dkt Faustine Ndugulile akifungua kongamano la watafiti, wanasayansi na wadau wa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi ulioanza leo jijini Arusha.Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, jinsia, watoto na walemavu Dkt Faustine Ndugulile akipata maelezo ya namna taasisi ya NACOPHA inayopambana na maambukizi ya Ukimwi alipotembelea banda lao leo hii, nyuma ya waziri ni Mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binaadam NIMR Prf Yunus Mgaya.Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya utafiti wa Magonjwa ya binaadam nchini (NIMR) Prf Yunus Mgaya akitoa salamu za taasisi yake katika kongamano la kitaifa la watafiti, wanasayansi na wadau wa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi nchini katika mkutano unaendelea jijini ArushaNaibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, jinsia, watoto na walemavu Dkt Faustine Ndugulile akipata maelezo ya namna taasisi ya THPS inavyopambana na maambukizi ya... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More