SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), Rashid Mtima (wa tatu kulia) akiwaongoza wajumbe wa warsha ya siku mbili iliyojadili usawa katika ulipaji wa kodi na manufaa yake katika kuboresha huduma za umma wakiimba wimbo wa ‘Mshikamano Daima’ wakati wa ufungaji wa warsha hiyo jijini Dar es Salaam. Walipendekeza serikali kupitia upya misamaha na mikataba ya kodi, kuwepo uwazi wa umiliki na faida wanazopata makampuni mbalimbali kuongeza uwezo wa TRA ili ikusanye mapato na fedha zitakazowezesha kujenga miundombinu na kuboresha huduma kwa umma. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs).Sehemu ya washiriki toka vyama vya wafanyakazi, asasi za kiraia makundi ya wanafunzi na vijana uliofanyika Tarehe 7 hadi 8 jijini Dar es Salaam wakifuatilia matukio wakati wa warsha iliyojadili maswala ya usawa katika ulipaji wa kodi na manufaa yake katika kuboresha huduma za umma. Mmoja wa washiriki akitoa mchango wake katika warsha iliyojadili maswala ya usawa katika ulipaji... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More