Serikali yatangaza tahadhari ya uwepo wa ugonjwa wa Ebola - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yatangaza tahadhari ya uwepo wa ugonjwa wa Ebola

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na kudhibiti na ugonjwa wa Ebola nchini. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Mwalimu amesema Wizara inatoa tahadhari ya ugonjwa huo wa Ebola kwa wananchi wote katika Mikoa yote ya Tanzania, lakini hasa ile ...


Source: MwanahalisiRead More