SERIKALI YATOA ONYO KALI KUTANGAZA MILIPUKO YA MAGONJWA YA MIFUGO NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YATOA ONYO KALI KUTANGAZA MILIPUKO YA MAGONJWA YA MIFUGO NCHINIWAZIRI Mpina akishiriki katika zoezi la uogeshaji mifugo kwenye Josho la kwanza kujengwa na Wajerumani katika nchi za Afrika Mashariki liitwalo Nunge lililojengwa mwaka 1905 lililoko wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina wa kwanza kushoto mwenye koti jeupe kwenye picha ya pamoja na wadau mballimbali mara baada ya kutoa hotuba ya tathmini ya zoezi la uogeshaji kitaifa iliyofanyika kwenye josho la kwanza kujengwa na Wajerumani katika nchi za Afrika Mashariki liitwalo Nunge lililojengwa mwaka 1905 lililoko wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.NA JOHN MAPEPELE, MPWAPWA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amepiga marufuku mtu yoyote kutangaza kuwepo magonjwa ya mifugo nchini isipokuwa yule aliyepewa mamlaka hayo kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume na taratibu za nchi na kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakayebainika.

Akizungumza hivi karibuni katika tathmini ya kampeni ya uogeshaji kitaifa iliyofanyika kwenye josho la kwanza kujengwa ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More