Serikali yatoa tahadhari kuhusu Ebola - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yatoa tahadhari kuhusu Ebola

SERIKALI imetoa tahadhari kwa umma kuhusu uwepo wa tishio la ugonjwa wa Ebola kufuatia ugonjwa huo kulipuka nchi ya jirani ya Uganda. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Tahadhari hiyo imetolewa leo na Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia ukurasa wake wa Twitter. Ummy ametoa tahadhari hiyo kutokana na ...


Source: MwanahalisiRead More