Serikali yaunga mkono juhudi za Dk Mengi kuanzisha maabara ya kisasa ya kutumia tiba ya seli shina - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali yaunga mkono juhudi za Dk Mengi kuanzisha maabara ya kisasa ya kutumia tiba ya seli shinaDr. Petcharin Srivatanakul kutoka Thailand akitoa mada kuhusu Uanzishwaji wa maabara ya kutengeneza seli shina/chembechembe hai (Stem Cell) kwa magongwa yasiyo na tiba wakati kongamano la Kwanza la Kimataifa kuhusu tiba ya kutumia kinasaba cha kiinitete (Stem Cell) kwa magonjwa hayo ambayo hayana tiba lililoandaliwa na Kampuni ya IPP Research, Technology and Innovation na kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya washiriki wa kongamano la kwanza la Kimataifa kuhusu tiba ya seli shina (Stem Cell) kwa magonjwa ambayo hadi sasa hayana tiba lililoandaliwa na Kampuni ya IPP Research, Technology and Innovation na kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP limited Dr Reginald Mengi (katikati) akibadilishana mawazo na Daktari Bingwa wa masuala ya Ngozi kutoka Medical Tourism Fit jijini Dallas-Marekani, Dr. Benedict Olusola (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa IPP Touchmate, Bw. Victor Tesha (kulia) wakati wa kongamano... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More