SERIKALI YAWAMILIKISHA WANANCHI WALIOVAMIA ARDHI PUGU BANGULO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAWAMILIKISHA WANANCHI WALIOVAMIA ARDHI PUGU BANGULO

Baadhi ya Viongozi wakiwa katika eneo la Pugu Bangulo jijini Dar es Salaam leo walipotembelea kutatua mgogoro wa ardhi uliokuwa ukitokea katika eneo hilo la Pugu Bangulo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi wa Pugu Bangulo jijini Dar es Salaam leo. Wananchi wa Pugu Bangulo wakiwasikiliza viongozi mbalimbali waliofika kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo la Pugu Bangulo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi wa Pugu Bangulo wakiwasilikiliza viongozi waliofika leo katika eneo lenye mgogoro.Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi pamoja na Waziri wa Mifugo  na Uvuvi Luhaga Mpina kwa pamoja  wamemaliza mgogoro uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la Pugu Stesheni na Bangulo na kuwakabidhi eneo la hekari 1792  walilokuwa wamevamia.
Akitoa maamuzi hayo Waziri mwenye dhamana ya mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina mbele ya wananchi hao amesema kuwa amekubali kuwapa eneo hilo na huku akiwataka wananchi hao ku... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More