SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUUENZI UTAMADUNI KWA SABABU NI SEHEMU YA UTALII - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUUENZI UTAMADUNI KWA SABABU NI SEHEMU YA UTALII

Na Anitha Jonas, ARUSHA (WHUSM)
SERIKALI imewataka watanzania kudumisha  na kurithisha amali za urithi wa asili wa utamaduni wa kitanzania kwa vijana na watoto kwa manufaa ya kizazi kijacho.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Arusha na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Susan Mlawi alipokuwa akifungua Tamasha la Urithi Festival kwa niaba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Utamaduni Dk. Harrison Mwakyembe katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Akiendelea kuzungumza katika  sherehe hizo za ufunguzi wa Tamasha hilo Mlawi asisitiza kuwa uwepo wa tamasha hilo utatoa fursa mbalimbali kwa watanzania wa kunadi,kuonesha na kutangaza rasilimali za  utalii wa utamaduni  ndani na nje ya nchi.

Wacheza ngoma jamii ya Wasonjo kutoka Ngorongoro wakicheza ngoma ya asili wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Urithi Festival leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha 

Katibu  Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Susan Mlawi  akitizama  maziwa yanavyohifadhiwa kwenye kibuyu... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More