Serikali Z’bar yafuta kongamano la maridhiano - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali Z’bar yafuta kongamano la maridhiano

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imefuta kongamano la kimataifa la kujadili mustakbali wa maridhiano Zanzibar lililokuwa lifanyike kesho. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). Kongamano hilo ambalo lingeshirikisha watu kadhaa mashuhuri na wasomi wa Tanzania na nje ya nchi, limeandaliwa na Kituo cha Katiba cha Afrika Mashariki, asasi ya kitafiti inayojumuisha wanasheria mabingwa katika kanda ya ...


Source: MwanahalisiRead More