SEVILLA YATOKA NYUMA NA KUIPIGA SIMBA SC 5-4 UWANJA WA TAIFA, BOCCO MCHEZAJI BORA WA MECHI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SEVILLA YATOKA NYUMA NA KUIPIGA SIMBA SC 5-4 UWANJA WA TAIFA, BOCCO MCHEZAJI BORA WA MECHI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, Simba SC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa leo.
Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4.
Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrisons Mwakyembe akiwakabidhi Kombe Sevilla
Wachezaji wa Sevilla wakifurahia na kombe lao baada ya mechi
Nahodha wa Simba SC, John Bocco akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi

Sevilla ikazinduka na kupata bao lake la kwanza dakika ya 24 kupitia kwa Jesus Escudero, lakini mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Bocco akaifungia Simba SC bao la tatu dakika ya 32.
Sevilla ikakianz... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More