Sh1 bil kumaliza mchezo wa Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sh1 bil kumaliza mchezo wa Yanga

KABLA ya jioni ya leo wanachama na mashabiki wa Yanga watafahamu mbivu na mbichi juu ya bilionea wao Yusuf Manji kama ataendelea kuiongoza Yanga kama Mwenyekiti au la, wakati Kamati ya Uchaguzi wa TFF na ile ya Utendaji ya klabu hiyo zitakapokutana kumaliza utata.


Source: MwanaspotiRead More