SHAABAN IDDI CHILUNDA ALIPOTAMBULISHWA LEO TENERIFE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SHAABAN IDDI CHILUNDA ALIPOTAMBULISHWA LEO TENERIFE

Mshambuliaji chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Shaaban Iddi Chilunda (kushoto) akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, CD Tenerife ya Daraja la Kwanza Hispania kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miaka miwili kutoka Azam FC ya nyumbani. Dar es Salaam.
Shaaban Iddi Chilunda amepwa jezi namba 18/19 
Shaaban Iddi Chilunda hapa akiwa amesimama pembemi ya sanamu 
Shaaban Iddi Chilunda akifurahia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari   

... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More