Shabiki afa, 40 majeruhi wakimshudia Sadio Mane - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shabiki afa, 40 majeruhi wakimshudia Sadio Mane

Shabiki mmoja wa soka amefariki Dunia na wengi karibu 40 kujeruhiwa kutokana na msongamano uliojitokeza wakati wa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo kati ya Madagascar dhidi ya Senegal.


Source: MwanaspotiRead More