Shabiki wa Simba ashinda Sh123.6million za M-Bet - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shabiki wa Simba ashinda Sh123.6million za M-Bet

Dar es Salaam. Shabiki wa Simba na mkazi wa mkoa wa Songwe, Willy Mwakapembe Wadson ameshinda Sh 123,614,160 baada ya kubashiriki kwa usahihi jumla ya mechi 12 katika za  mchezo wa kubahatisha wa Perfect 12 unaondeshwa na kampuni ya M-Bet Tanzania.Mwakapembe ambaye ni mfanyabiashara ndogondogo na mkulima wa Tunduma anakuwa mshindi wa tatu tokea kuanza  mwaka huu  kushinda kiasi kikubwa cha fedha ambacho amesema kitabadili maisha yake.Washindi wengine ni Frank Kayombo  ambaye alishinda kiasi cha Sh milioni 188.4 wakati mshindi wa pili alikuwa Simon Muray aliyeshinda Sh milioni  81.Meneja Masoko wa M-Bet, Allen  Mushi pia alisema kuwa kuna washindi wengi waliojishindia mamilioni kupitia Jackpot Bonus ya kampuni yao.Mushi amesema kampuni yao inazidi kupata washindi na mpaka sasa jumla ya Sh milioni 500 zimetumika kuwazawadia washindi mbalimbali.Alisema kuwa kampuni yao inazidi kuwabadili maisha Watanzania huku wakichangia pato la serikali kiasi cha Sh milioni 24.7. Alisema ili kuwez... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More