Shaffih Dauda aiondoa Man United top 4, airudisha Arsenal na kuipa ubingwa Liverpool - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shaffih Dauda aiondoa Man United top 4, airudisha Arsenal na kuipa ubingwa Liverpool

Msimu mpya wa Epl 2018/2019 unatarajiwa kuanza siku ya Ijumaa pale Manchester United watakapokipiga dhidi ya Leicester City katika dimba la Old Traford katika mchezo ambao utaoneshwa moja kwa moja katika king’muzi cha DSTV.


Sio tu mechi ya kwanza ya EPL bali msimu mzima wa ligi huu utakufikia ulipo kama kawaida kwa kupitia king’amuzi cha DSTV tena katika kiwango cha HD.


Ligi kuu inaanza baada ya dirisha la usajili ambalo limedumu kwa takribani miezi 3,pia kukawa na kombe la dunia hapo katikati na pia mechi za kujiandaa kwa ajili ya msimu mpya.Timu zimefanya usajili ambao umebaki masaa machache kukamilika na watu wameona usajili pamoja na maandalizi, Shaffih Dauda ameona yote haya na kwa uzoefu wake ametaja timu ambazo zitashika nafasi nne za juu EPL katika msimu ujao.


Top 4 ya Shaffih Dauda 2018/2019.


1.Liverpool. Ni miaka 27 sasa tangu mwezi April mwaka 1990 Liverpool walipoifunga Qpr 2-1 na kutwaa kombe lao la mwisho la Epl na Shaffih Dauda anaamini huu ni wakato sahihi kwa Liver... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More