Shaffih Dauda alivyogawa MARKS kwa wachezaji Simba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shaffih Dauda alivyogawa MARKS kwa wachezaji Simba

Kwenye mchezo wa jana Simba vs Saoura wachezaji wa Simba kila mmoja alicheza kwa kiwango cha juu, nimefanya analysis yangu kwa kila mchezaji na kumpa alama kulingana na kiwango chake kwenye mechi ya jana.


Alama nilizotoa kwa kila mchezaji ni juu ya 10.


Kujua alama nilizotoa kwa kilachezaji tembelea #YouTube kupitia #DaudaTV utakuta video ndefu nilivyogawa alama na sababu kwa nini mchezaji husika amepata alama hizo.Source: Shaffih DaudaRead More