Shaffih Dauda kataja sababu za Ubelgiji kupotea kwa wafaransa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shaffih Dauda kataja sababu za Ubelgiji kupotea kwa wafaransa

Jana Jumanne July 10, 2018 ilichezwa nusu fainali ya kwanza ya kombe la dunia ambapo Ufaransa ilishinda 1-0 mbele ya Ubelgiji kwenye uwanja wa St. Petersburg.


Ukiachana na matokeo hayo, Shaffih Dauda ambaye alikuwa shuhuda wa mchezo huo ameulelezea mchezo huo ndani na nje ya uwanja.


Ndani ya uwanja amefanya uchambuzi akieleza sababu za Ubelgiji kupoteza mchezo huo licha ya kutabiriwa kufika fainali baada ya kuitoa Brazil katika mchezo wa robo fainali. Nje ya uwanja amezungumzia kuhusu mashabiki wa Brazil kuwa wengi kwenye mchezo huo na kuishangilia Ufaransa lakini pia issue ya tiketi.


Mabadiliko kwenye kikosi cha Ubelgiji


Kulikuwa na ingizo la Mousa Dembele na kubadilishwa position  kwa winga Nacer Chadli ambaye alikuwa anaziba pengo la Thomas Meunier ambaye alisimamishwa kwenye mchezo wa jana.Mabadiliko ya kimfumo yalionekana kuigharimu Ubelgiji na ilicheza chini ya kiwango ukilinganisha na mechi zilizopita hadi wakafika hatua ya nusu fainali na watu wengi kuipa nafasi ya kufika fa... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More